Our school

NM-AIST  yashinda Mashindano ya Taifa ya afya na Usafi wa Mazingira kundi la Vyuo Vikuu

Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), imeibuka kidedea kwa kuwa Mshindi wa Kwanza katika Mashindano ya Taifa ya afya na Usafi wa Mazingira kundi la Vyuo Vikuu, Tanzania Bara kwa Mwaka 2022.

Mashindano hayo yaliratibiwa na ofisi ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya.

Pichani: Makamu Mkuu wa Taasisi ya NM-AIST Prof. Emmanuel Luoga na Manaibu Makamu wakuu wa Chuo wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya NM-AIST wakati wakisherehekea ushindi uliohusisha kupokea Kombe, Cheti na Hundi ya Tshs Milioni NNE.

Back to top